Comments on: Pervez Musharraf’s Resignation and The Way Forward

by: Global Voices in Swahili » Pakistani: Musharraf Aondoka Jengoni
[…] Wanablogu wa KiPakistani walipokea taarifa hizi kwa hisia tofauti, wapo waliomshabikia kwa miluzi yenye kuashiria kwamba alikuwa ‘a Jolly Good Fellow’ (mtu mwema na mchangamfu), wakati huohuo washabiki wake waaminifu hawakukawia kumpigia mbija za kumpongeza, hata hivyo wapo waliochukua hali hii kwa tahadhari huku wakisherehekea kumalizika kwa utawala wa kidikteta. Katika namna ya kukejeli, Yeah That Too alishirikisha maneno machache, Ammar kwa upande wake aliandika kuhusu namna ‘Mpambano mpya wa manyau’ unavyokaribia kuanza, Chowrangi anazungumizia mustakabali wa nchi ya Pakistani baada ya Musharraf, Psychotic Discourses anatupatia mwanga juu ya muundo mpya wa ‘Utawala wa Kishetani’ (Demon-cracy), wakati ambapo MB anatuchanganya zaidi kwa kuzungumizia hali hii kama moja ya mizunguko ya kisarakasi. […]